Seti hii hutengenezwa kwa kupiga chapa zaidi ya nakala zaidi ya 2,500 kwa mashirika yasiyo ya kiserikali na serikali, kwa takribani dola ($ 3.50) kila moja. Kila seti ni saizi ya A2. Kama unahitaji kupata nakala kwa wingi au kama unamapendekezo kuhusu kilimo, maisha, utawala n.k. niandikie na tuma kwa: sam@fourthway.co.uk
Shukrani kwa Janet Maro kwa kutafsiri mabango haya kutoka katika lugha ya Kiingereza. Mabango haya pia yanapatikana kwa lugha ya Kifaransa.