Kilimo endelevu/ hai na maisha
- Jinsi ya kutayarisha Mbolea vunde/ mboji
- Namna ya kutayarisha bustani ya jikoni/ mandala
- Namna ya kutayarisha Shamba Mfuko
- Namna ya kutayarisha mbolea ya maji
- Namna ya kutayarisha “Chai ya Mimea”
- Namna ya kutayarisha Dawa za Asili
- Namna ya kuzuia mmomonyoko wa udongo
- Kwa nini matandazo?
- Namna ya kutengeneza jiko lenye kutumia kuni kidogo
- Namna ya kutengeneza gusa-bomba
- Namna ya kutayarisha mlo wenye afyant
Jinsi ya kutayarisha Mbolea vunde/ mboji

Namna ya kutayarisha bustani ya jikoni/ mandala

Namna ya kutayarisha Shamba Mfuko

Namna ya kutayarisha mbolea ya maji

Namna ya kutayarisha “Chai ya Mimea”

Namna ya kutayarisha Dawa za Asili

Namna ya kuzuia mmomonyoko wa udongo

Kwa nini matandazo?

Namna ya kutengeneza jiko lenye kutumia kuni kidogo

Namna ya kutengeneza gusa-bomba

Namna ya kutayarisha mlo wenye afyant

Seti hii hutengenezwa kwa kupiga chapa zaidi ya nakala zaidi ya 2,500 kwa mashirika yasiyo ya kiserikali na serikali, kwa takribani dola ($ 3.50) kila moja. Kila seti ni saizi ya A2. Kama unahitaji kupata nakala kwa wingi au kama unamapendekezo kuhusu kilimo, maisha, utawala n.k. niandikie na tuma kwa: sam@fourthway.co.uk
Shukrani kwa Janet Maro kwa kutafsiri mabango haya kutoka katika lugha ya Kiingereza. Mabango haya pia yanapatikana kwa lugha ya Kifaransa.